Tanzania Investment Centre (TIC)
Tanzania Investment Centre (TIC)
February 12, 2025 at 12:00 PM
Tarehe 11, Februari, 2025 tumepokea ugeni kutoka nchini Saudi Arabia ukiongozwa na Rais wa Shirikisho la chama cha Wafanyabiasha la Saudi Arabia aliye ongozana na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Saudi Arabia. Katika ujumbe huu watakutana na viongozi wa serikali ya Tanzania na wawekezaji hapa nchini namna ya kuimarisha mashirikiano baina ya nchi hizi mbili. Ujumbe huu ni muendelezo wa matokeo ya kongamano la biashara na Uwekezaji lililofanyika Riyadh, Saudi Arabia mwezi Desemba 2024.
👍 4

Comments