Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
                                
                                    
                                        
                                    
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                January 21, 2025 at 08:02 PM
                               
                            
                        
                            HABARI PICHA
Leo Januari 21,2025. Bungeni jijini Dodoma  Mkurugenzi Mkuu Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC), Dkt. Emmanuel Mkilia na baadhi ya Viongozi kutoka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wameshiriki kikao cha uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa maazimio ya Bunge na taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kipindi cha nusu mwaka (Julai-Disemba 2024).
#lindataarifabinafsitz 
#faraghayakoniwajibuwetu 
#pdpctz 
#pdpcznz
                        
                    
                    
                    
                    
                    
                                    
                                        
                                            ❤️
                                        
                                    
                                        
                                            😢
                                        
                                    
                                        
                                            🥰
                                        
                                    
                                    
                                        3