Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
January 24, 2025 at 10:45 AM
"Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ipo kuhakikisha Taarifa Binafsi zinatumiwa kwa ridhaa ya Muhusika wa Taarifa" Dkt. Emmanuel Mkilia, Mkurugenzi Mkuu - PDPC Video by @channeltentanzania @baragumu_live_chanelten #lindataarifabinafsitz #faraghayakoniwajibuwetu #pdpctz #pdpcznz
❤️ 1

Comments