Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
January 30, 2025 at 07:56 AM
Mhandisi Stephen Wangwe, Mkurugenzi wa Usajili na Uzingatiaji - PDPC anabainisha namna Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeweka mazingira wezeshi kwenye Ulinzi Wa Taarifa Binafsi Nchini. 🎥 by @crawn_media Kupata Elimu zaidi kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi tafadhali tembelea ukurasa wetu wa Youtube - pdpctz #lindataarifabinafsitz #faraghayakoniwajibuwetu #pdpctz #pdpcznz

Comments