Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
January 31, 2025 at 11:29 AM
Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - PDPC, Bw. Innocent Mungy, anabainisha namna Serikali ya Awamu ya Sita imepelekea Tanzania kufanya vizuri kwenye sekta ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi Duniani. 🎥 by @tbc_online
Kupata Elimu zaidi kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi tafadhali tembelea ukurasa wetu wa Youtube - pdpctz
#lindataarifabinafsitz
#faraghayakoniwajibuwetu
#pdpctz
#pdpcznz