
Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
February 3, 2025 at 08:53 AM
Mhandisi Stephen Wangwe, Mkurugenzi wa Usajili na Uzingatiaji - PDPC. Anaelezea Hatua zinazochukuliwa na PDPC kabla ya kutoa kibali cha Kusafirisha Taarifa Nje ya Nchi. 🎥 by @azamtvtz
Kupata Elimu zaidi kuhusu Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi tafadhali tembelea ukurasa wetu wa Youtube - pdpctz
#lindataarifabinafsitz
#faraghayakoniwajibuwetu
#pdpctz
#pdpcznz