
Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
February 8, 2025 at 03:45 PM
Maadhimisho ya Wiki ya Anwani za Makazi
“Tambua na tumia anwani za makazi,kuimarisha utoaji na upokeaji wa huduma ”
PDPC imeshiriki kwenye maonesho ya maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center (JKCC) jijini Dodoma tarehe 6 hadi 8/2/2025.