Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
Tume Ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC)
February 12, 2025 at 11:18 AM
”PDPC tunamuwezesha Mkusanyaji na Mchakataji wa Taarifa Binafsi Popote alipo kuweza kujisajili kwenye Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi” Dkt. Emmanuel Mkilia, Mkurugenzi Mkuu – PDPC Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia dawati la huduma kwa wateja kwa simu namba +255718462536, +255744057652, +255736110505, +255615779070, +255695507751 au barua pepe [email protected] #lindataarifabinafsitz #faraghayakoniwajibuwetu #pdpctz

Comments