
tbc_online
February 17, 2025 at 07:22 AM
*Dkt. Rioba katika mkutano wa wadau wa Elimu kwa Umma*
*Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha, amewasili katika Ukumbi wa City Park Garden uliopo Jijini Mbeya unapofanyika mkutano wa mafunzo wa 109 wa watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma kupitia TBC.*
*Mkutano huo wa siku tano unaanza leo Februari 17, 2025 ambapo TBC huandaa mafunzo hayo kila mwaka washiriki wakiwa ni wakuu wa taasisi mbalimbali na maafisa uhusiano au habari kutoka serikalini.*
✍🏾📸 @clementsilla
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DGKlIaQNnBh/?igsh=MW14M3Y3Y2V4djlwbw==
👍
1