
tbc_online
February 17, 2025 at 08:06 AM
*TBC katika mkutano wa wadau wa Elimu kwa Umma*
*Baadhi ya viongozi na watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiwa katika mkutano wa mafunzo wa 109 wa watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma kupitia TBC, unaofanyika katika ukumbi wa City Park Garden uliopo Jijini Mbeya.*
*Mkutano huo wa siku tano unaanza leo Februari 17, 2025, ambapo TBC huandaa mafunzo hayo kila mwaka washiriki wakiwa ni wakuu wa taasisi mbalimbali na maafisa uhusiano au habari kutoka serikalini.*
✍🏾📸 @clementsilla
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DGKqK4UNdWw/?igsh=YWN0dmxwY2xycXZp
❤️
1