
tbc_online
February 17, 2025 at 09:57 AM
*WASHITIRI wakipokea nondo za Dkt. Rioba*
*Washiriki wa mkutano wa mafunzo wa 109 wa watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma (WASHITIRI) kupitia Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), wakifuatilia mada inayowasilishwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba Chacha katika mkutano huo.*
*Mkutano huo wa siku tano umeanza leo Februari 17, 2025 ambapo TBC huandaa mafunzo hayo kila mwaka washiriki wakiwa ni wakuu wa taasisi mbalimbali na maafisa uhusiano au habari kutoka serikalini.*
✍🏾📸 @clementsilla
👇🏾👇🏾👇🏾
https://www.instagram.com/p/DGK2HwFtBFS/?igsh=MTI1Ym9wOG9scW1uaQ==