
JamiiForums
February 17, 2025 at 11:49 AM
SINGIDA: Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Kishoa, akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika huko Nkalakala, Wilayani Mkalama, Februari 16, 2025 amesema kuna Kiongozi wa Kisiasa alimwambia "Jesca, tunza fedha zako, cheza na wajumbe. Unatumia njia ndefu mno. Kipenga kikipulizwa, zitumie kuwahonga Wajumbe ikiwa utagombea kupitia CCM au Chama chochote”
Zaidi https://jamii.app/HongoWajumbe
Video Credits: Jambo TV
😢
😂
3