Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

350.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
February 17, 2025 at 04:06 AM
KUMBUKUMBU YA KUZALIWA GODFREY MUJUNGI - TABORA Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwako Godfrey Mujungi, Valantia wa Radio Maria Tanzania Jimbo Kuu Katoliki Tabora, leo Februari 17, 2025 anamshukuru Mungu kwa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake. Tunaalikwa sote kwa Pamoja tumtakie matashi mema katika utume na maisha yake kwa Ujumla. Hongera sana Godfrey Mama Maria aendelee kukubeba daima. Amina . . www.radiomaria.co.tz #injilishakwaharaka #mahujajiwamatumaini
🙏 🎂 👍 ❤️ 🎉 👏 😮 🥳 🧁 27

Comments