
Radio Maria Tanzania
February 17, 2025 at 07:46 AM
HERI YA KUMBUKIZI YA KUZALIWA ELIZABETH
▪︎ Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa ya Mwanafamilia mwenzetu Elizabeth Henry Masanja, anayefanya utume wake kwa nafasi ya Utangazaji, Radio Maria Tanzania.
▪︎ Nakualika umtakie neno la Baraka na Matashi mema katika kumbukizi hii muhimu ya kuzaliwa kwake.
Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa Eliza hakika umefanyika baraka kati yetu.
.
.
www.radiomaria.co.tz
#radiomariatz
#injilishakwaharaka
#mahujajikatikamatumaini
❤️
🙏
🎂
🎉
🥳
🌹
👍
🥰
56