
NMB Bank Plc
February 16, 2025 at 03:03 PM
Kilosa, Morogoro 📍
NMB Kijiji Day inasogea hadi mtaani kwako!
Tunaendelea na zoezi letu la kufikisha huduma na elimu ya fedha kwa watanzania hasa maeneo ambayo bado hayajafikiwa, kuwawezesha kutimiza malengo yao kupitia masuluhisho yetu ya bima, mikopo na huduma za kidijitali.
Mbali na huduma za kifedha, tumetoa Elimu ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, semina kwa vyama na vikundi vya kijamii na bonanza lililo sheheni burudani mbalimbali!
Tukio hili lilifanyika Kwenye kijiji cha Msowelo na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka, na uwakilishi wa benki umeongozwa na Meneja wetu wa Kanda ya Kati, Janeth Shango.
#nmbkijijiday
#nmbkaribuyako
👍
❤️
🙏
👏
😂
10