Chama Imara Na Samia

Chama Imara Na Samia

208.1K subscribers

Verified Channel
Chama Imara Na Samia
Chama Imara Na Samia
February 16, 2025 at 08:59 PM
@wazazi_ccm_tz Wana Jambo Lao Mkoani Manyara. Kazi ya Chama kwa Wananchi, Ziara ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Komred @ally_hapi atakagua miradi Mbalimbali ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na Kusikiliza Wananchi katika Maeneo mbalimbali mkoani humo. #kaziyachamakwawanachama #chamalmaranassh #kaziiendelee #wazazimpangomzima

Comments