TRT Afrika Swahili

TRT Afrika Swahili

11.8K subscribers

Verified Channel
TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
February 21, 2025 at 01:51 PM
Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, Wafula Chebukati amefariki, familia yake imethibitisha. Chebukati alihudumu kama mwenyekiti wa IEBC kwa kipindi cha miaka sita na alistaafu Januari 2023. Aliongoza Uchaguzi Mkuu wa 2017 na 2022 Alikuwa wakili mwenye uzoefu wa miaka 37 na aliendeleza shughuli zake binafsi za uanasheria kwa miaka 20. Chebukati ameacha mjane,Mary Chebukati aliyepata naye watoto kadhaa. trtafrika.com/sw/africa/mwenyekiti-za-zamani-tume-ya-uchaguzi-kenya-afariki-dunia-18267304/
Image from TRT Afrika Swahili: Aliyekuwa mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini ...
😢 ❤️ 😂 🙏 6

Comments