
TRT Afrika Swahili
February 26, 2025 at 03:46 PM
🇷🇼 Rwanda imelalamika vikali kuhusu vikwazo vilivyotangazwa na serikali ya Uingereza katika kukabiliana na mzozo wa mashariki mwa DRC.
Uingereza inaishtumu Rwanda kuunga mkono kikundi chenye silaha cha M23 nchini DRC, ambacho tangu Januari 2025 kimefanya mashambulizi mengine mashariki mwa nchi.
😢
❤️
👍
6