TRT Afrika Swahili

TRT Afrika Swahili

11.8K subscribers

Verified Channel
TRT Afrika Swahili
TRT Afrika Swahili
February 27, 2025 at 10:03 AM
Zaidi ya watu 50 wafariki kwa ugonjwa usiojulikana kaskazini magharibi mwa DRC. Chanzo cha ugonjwa huo hakijulikani, ingawa ripoti zinasema kuwa kuna watoto watatu waliosemekana kufariki baada ya kula popo aliyekufa. Ugonjwa huo umethibitishwa kuwa si malaria wala marburg. Disemba 2024, ugonjwa ambao haukujulikana nchini DRC ulikuja kutambulika kama malaria.
Image from TRT Afrika Swahili: Zaidi ya watu 50 wafariki kwa ugonjwa usiojulikana kaskazini magharibi...
😢 🙏 5

Comments