
TRT Afrika Swahili
February 28, 2025 at 01:10 PM
Rais wa Kenya, William Ruto kwa mara nyingine amewakashifu wakosoaji wake hasa wa kisiasa, wanaopinga uongozi wake.
Akitoa mfano, alisema wapinzani hao hawana mawazo mbadala ya kukuza uchumi wa nchi.

👍
2