
RFI Kiswahili
February 21, 2025 at 07:39 AM
Mamia ya raia wa jamii ya Ogale na Bille nchini Nigeria, wamewasilisha kesi mahakamani dhidi ya kampuni ya Shell wanayoituhumu kwa uchafuzi wa mazingira kupitia kuvuja kwa mabomba ya mafuta katika eneo la Niger delta,wakisema hilo limeathiri mfumo wao wa maisha .
Kesi hiyo imewasilishwa katika mahakama ya London.

❤️
🙏
👍
😢
😮
13