
RFI Kiswahili
February 22, 2025 at 09:55 AM
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer hawajafanya lolote kumaliza vita nchini Ukraine, kabla ya ziara yao katika Ikulu ya White House wiki ijayo.

👍
🙏
❤️
11