
RFI Kiswahili
February 22, 2025 at 09:56 AM
Magari ya Shirika la Msalaba Mwekundu yamefika katika eneo la pili huko Gaza, Nuseirat, katika Ukanda wa Gaza wa Kati, kwa ajili ya kukabidhiwa kwa wafungwa wa pii wa leo.
Wafungwa wanne wa Kiyahudi kutoka Israeli wanaotarajiwa kuachiliwa na Hamas ni Hisham al-Sayed, ambaye alitekwa mwaka 2015 baada ya kuvuka mpaka kuingia Gaza peke yake, Omer Shem Tov, mwenye umri wa miaka 22, Eliya Cohen, mwenye umri wa miaka 27, na Omer Wenkert, mwenye umri wa miaka 23, ambao walitekwa kutoka kwenye tamasha la muziki la Nova tarehe 7 Oktoba 2023.

🙏
👍
😢
❤️
😮
13