
RFI Kiswahili
February 22, 2025 at 11:10 AM
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov, ataitembelea Tehran hivi karibuni ili kukutana na mwenzake wa Iran kujadili mabadiliko na maendeleo ya kikanda na kimataifa. Imesema wizara ya Mambo ya Nje ya Iran.

👍
😢
🙏
❤️
😂
11