
RFI Kiswahili
February 25, 2025 at 05:27 AM
Burundi🇧🇮 imewarudisha nchini DRC🇨🇩 polisi 800 waliokuwa wamekimbilia nchini humo, baada ya waasi wa M 23 kuchukua maeneo kadhaa jimboni Kivu Kaskazini na Kusini na kupewa hifadhi katika mkoa wa Muramvya, wakati huu nchi hiyo ikakabiliwa na wimbi kubwa la wakimbizi wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake, ambao idadi yao ni zaidi ya 40,000 kwa mujibu wa Tume ya kushughulikia wakimbizi UNHRC.
Baadhi ya wakimbizi kutoka DRC walikuwa wamekimbilia katika eneo la Gisenyi, Rubavu Rwanda.
Ripoti: Jean Bosco Ndayiragije, Gitega☝️
😢
🙏
❤️
👍
😂
😮
9