
RFI Kiswahili
February 28, 2025 at 06:53 PM
Rais Volodymyr #zelensky wa #ukraine 🇺🇦 ameripotiwa kuondoka katika Ikulu ya White House baada ya majibizano makali na yenye hasira na Rais wa Marekani Donald #trump na Makamu wa Rais #jdvance.
Trump amechapisha kwenye mitandao yake ya kijamii akidai kwamba #zelensky alidharau Marekani katika Ofisi yake ya Oval.
Amesema Kiongozi huyo wa Ukraine anaweza kurejea akiwa tayari kwa amani.

😂
🙏
👍
😮
❤️
😢
29