RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
March 1, 2025 at 07:49 AM
Jijini Kinshasa, serkali kupitia wizara ya Afya imetoa wito kwa raia wake wote kujitokeza kutoa damu kwa ajili ya watu wanaohitaji katika Miji ya Goma na Bukavu. Kwa mujibu wa serkali ya kongo🇨🇩, watu 8500 wameripotiwa kufariki na wengine zaidi ya Elfu tano walijeruhiwa tangu waasi waiingie katika mji wa Goma, na idadi hiyo huenda ikaongezeka. Ripoti : Freddy Tendilonge, Kinshasa.👆
😢 👍 😂 ❤️ 🙏 😮 22

Comments