Swahili Times

Swahili Times

780.0K subscribers

Verified Channel
Swahili Times
Swahili Times
February 26, 2025 at 11:22 AM
“Kule Bagamoyo tunakwenda kujenga eneo huru la kiuchumi. Tunakwenda kujenga kongano la viwanda pale Bagamoyo (EPZ) kubwa kuliko zote zilizowahi kujengwa Tanzania.” - Rais Samia Suluhu akizungumza na wananchi wa Pangani
Image from Swahili Times: “Kule Bagamoyo tunakwenda kujenga eneo huru la kiuchumi. Tunakwenda ku...
👍 ❤️ 🙏 😮 27

Comments