
Swahili Times
February 27, 2025 at 11:01 AM
“Ningependa kusema kitu kuhusu mashabiki wa Yanga. Nina uzoefu mkubwa wa soka barani Afrika, nimefanya kazi na vilabu vikubwa, lakini mashabiki wa Yanga ni wa kipekee. Siogopi kusema hivi kwa sababu ni ukweli. Wananipa mshangao mkubwa na furaha kubwa. Wanapokuja kwa wingi kutuunga mkono, wanatupa motisha kubwa zaidi ya kupambana, kufanya kazi kwa bidii mazoezini, na kutoa kila kitu uwanjani.” – Miloud Hamdi, Kocha mkuu Yanga SC

❤️
😂
👍
😢
😮
🙏
25