JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 26, 2025 at 05:39 AM
Je, kusifia kupita kiasi kunadhoofisha Uwajibikaji? Tunawezaje kusawazisha pongezi na ukosoaji ili viongozi wawajibike bila kuhisi wanashambuliwa? Jiunge nasi kwenye mjadala huu wa kujadili dhana ya 'Uchawa' katika muktadha wa #uwajibikaji na mustakabali wa Demokrasia yetu Ni Alhamisi hii, Februari 27, 2025 kuanzia Saa 12 Jioni hadi 2 Usiku kupitia #xspaces ya #jamiiforums Kujiunga, bofya https://jamii.app/KujipendekezaSpace
Image from JamiiForums: Je, kusifia kupita kiasi kunadhoofisha Uwajibikaji? Tunawezaje kusawaz...
👍 ❤️ 😂 😮 🙏 16

Comments