
JamiiForums
February 26, 2025 at 04:43 PM
Unadhani mfumo wetu wa #elimu unachangia kwa namna yoyote katika kukuza au kupunguza ‘uchawa’? Una maoni gani katika eneo hili?
Ili kutoa maoni yako usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unazorotesha Uwajibikaji?" Alhamisi ya Februari 27, 2025 kuanzia saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia #xspaces ya JamiiForums
Kushiriki bofya https://jamii.app/KujipendekezaSpace

😂
👍
😮
🙏
5