
JamiiForums
February 27, 2025 at 06:43 AM
Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia #xspaces ya JamiiForums
'Washtue' ndugu, jamaa au marafiki ili wawe sehemu ya Mjadala huu muhimu kwa kesho ya Nchi yetu
Washiriki watapata fursa ya kutoa maoni au mapendekezo na kuuliza maswali kwa Wazungumzaji wetu
Kushiriki bofya https://jamii.app/KujipendekezaSpace

👍
🙏
❤️
😢
😮
13