JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 27, 2025 at 11:53 AM
Ni kwa jinsi gani Vyama vinaweza kushirikiana kuhakikisha Uwajibikaji unakuwa sehemu ya Utamaduni wa Kisiasa, badala ya 'Siasa za kupambana' kwa misingi ya itikadi pekee? Kutoa maoni na mapendekezo yako shiriki katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia #xspaces ya JamiiForums Kushiriki bofya https://jamii.app/KujipendekezaSpace
Image from JamiiForums: Ni kwa jinsi gani Vyama vinaweza kushirikiana kuhakikisha Uwajibikaji ...
❤️ 👍 😂 🙏 6

Comments