
JamiiForums
February 27, 2025 at 03:13 PM
Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" upo hewani muda huu kuanzia Saa 12:00 Jioni hadi 2:00 Usiku, kupitia #xspaces ya JamiiForums
Hii ni nafasi yako kusikiliza hoja za Wadau na Wananchi mbalimbali na kushiriki ikiwemo kwa kuuliza maswali
Kushiriki bofya https://jamii.app/KujipendekezaSpace

❤️
👍
😢
😮
6