JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 27, 2025 at 03:44 PM
Akizungumza katika Mjadala wa “Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Mwandishi wa Habari (The Chanzo), Khalifa Said amesema “Hautakiwi kushangaa kuona siku hata usiyemtegemea akajiunga kwenye timu ya hao wanaoitwa 'Machawa' kwa kuwa atakuwa anafanya hivyo ili kuweza kuishi” Amesema kuwa hao Watu wanaoitwa Chawa wanafanya hayo ili waweze kuishi, hao Watu wamekuwa na ujasiri wa kujiunga nao ili nao wapate shea ya keki ya Taifa Ameongeza kwa kusema kuwa kila mtu anataka kuishi maisha mazuri hivyo uchawa sio sababu ya kukosekana kwa Uwajibikaji, matumizi mabaya ya madaraka ndio chanzo
Image from JamiiForums: Akizungumza katika Mjadala wa “Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" ...
👍 😢 ❤️ 😂 11

Comments