
JamiiForums
February 27, 2025 at 04:15 PM
Akizungumza katika Mjadala wa “Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Mkurugenzi wa Uchechemuzi (Twaweza), Annastazia Rugaba amesema kuwa #uchawa unachangiwa na vitu vingi ikiwemo ukosefu wa Ajira
Ameongeza kwa kusema kuwa #uchawa ni aibu kwani kuna watu wanafanya vitu vya aibu kwenye Jamii mpaka unawaonea huruma
Amesema “Inatakiwa Wananchi wafahamu kuwa kodi yao ndio ambayo inawezesha mafanikio ya Serikali ikiwemo miradi inayozinduliwa na Viongozi wa Serikali"

❤️
👍
6