
JamiiForums
February 27, 2025 at 04:43 PM
Akichangia katika Mjadala wa “Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Mwaura Robert (Mdau) amesema kuwa #uchawa haupo tu kwenye Siasa kuna wakati ulifika hadi katika Mamlaka za Kisheri, uamuzi ulifanyika huku mhusika anayefanya maamuzi akilenga kupandishwa cheo
Ameongeza kuwa Watu ambao wanatokana na upendeleo wanapofanya kazi duni hawawezi kuwajibishwa

❤️
👍
🙏
5