JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 27, 2025 at 05:04 PM
Mkuu wa Idara ya Programu (TCD), Carlos Buto akichangia katika mjadala amesema kuwa #uchawa unaanzia katika ngazi ya Familia zetu na ni ngumu kuuondoa katika ngazi ya Taifa Ameongeza kwa kusema tunatakiwa kubadilisha mifumo yetu ya Kisiasa, pia kutambua mchango wa Vyombo vya Habari na kuangalia vina uwezo gani wa kujiendesha Amesema “Kunapokuwa na ombwe hasa katika Mitandao ya Kijamii wapo watu wanatumia fursa hiyo kupeleka ujumbe vile wanavyoona inafaa na hiyo inaweza kuwa moja ya njia ya kuwaharibu Vijana"
Image from JamiiForums: Mkuu wa Idara ya Programu (TCD), Carlos Buto akichangia katika mjadala...
👍 😂 2

Comments