
JamiiForums
February 27, 2025 at 05:16 PM
Mkurugenzi wa Uchechemuzi (Twaweza), Annastazia Rugaba amechangia mjadala kwa kusema “Uchawa una viwango, kuna viwango vya juu, kati na chini, hata Wanawake wapo Machawa, wanatumiwa kama ngazi ili wanaowatumia wafike wanapopataka”
Ameongeza kwa kusema kuwa “Tumefanya makosa sana kuhubiri Maadili badala ya Uadilifu”
Amesema Maadili ni ile hali ya kuzingatia kanuni za Jamii lakini Uadilifu ni hali ya kuwa na mwenendo kuanzia ndani ya nafsi yako katika kufanya maamuzi sahihi

👍
🙏
❤️
😂
😢
😮
9