JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
February 27, 2025 at 05:59 PM
Akichangia mjadala Singularity(Mdau) amesema “Ikitokea kikundi ambacho kinataka kuishi chenyewe bila kujali maslahi ya watu wengine, hicho kikundi hakifai kwenye Jamii” Ameongeza kwa kusema “Inapotokea katika Kundi la Watu Milioni moja, kati yao Watu Laki tisa wakiwa wanatoa kilio cha uhitaji maji, wakati huohuo kundi la Watu 100 wao wanasema kila kitu kipo sawa, huo ndio Uchawa ambao hauna faida, hiyo ni kama saratani inatakiwa kuondolewa” Amesema mtu Mtu anapokusifia kitu ambacho unaona sio kweli, unatakiwa kumzuia, lakini Watu wanapokuwa katika nafasi fulani wanakuwa wanapenda kusifiwa hata kama ni sifa ya Uongo
Image from JamiiForums: Akichangia mjadala Singularity(Mdau) amesema “Ikitokea kikundi ambacho...
❤️ 👍 😮 🙏 😂 22

Comments