tbc_online

tbc_online

594.1K subscribers

Verified Channel
tbc_online
tbc_online
February 28, 2025 at 05:25 PM
*Leo Februari 28, 2025 ambayo ni sawa na Shaaban 29, 1446 kwa Kalenda ya Kiislamu (Hijiria), Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametangazia waumini wa Dini ya Kiislamu akiwa jijini Tanga kwamba mwezi hajaonekana nchini kote wala kwa majirani zetu Kenya.* *TAZAMA* 👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾 https://www.instagram.com/reel/DGn-lHEufKO/?igsh=cGpvNDNoM2FoYTY2
Image from tbc_online: *Leo Februari 28, 2025 ambayo ni sawa na Shaaban 29, 1446 kwa Kalenda ...
😂 👍 ❤️ 😢 🙏 21

Comments