TRA TANZANIA

TRA TANZANIA

317.1K subscribers

Verified Channel
TRA TANZANIA
TRA TANZANIA
February 26, 2025 at 03:10 AM
#pemba TRA Mkoa wa Kikodi Pemba tarehe 25/02/2025 imeadhimisha Siku ya Shukrani kwa Walipakodi bora kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa, Mhe. Saada Mkuya ambaye ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango (Zanzibar).
Image from TRA TANZANIA: <a class="text-blue-500 hover:underline cursor-pointer" href="/hashtag...
👍 ❤️ 😮 🙏 9

Comments