Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

344.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
February 24, 2025 at 08:47 PM
https://www.facebook.com/share/v/1AKkANswRN/ ACHENI KWENDA "KUHEMEA" KWENYE IMANI NYINGINE - PADRE PROSPER KESSY OFMCap Karibu ufuatilie sehemu ya mafundisho ya Padre Prosper Kessy OFMCap, wakati wa Semina ya Vijana wa Dekania ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma iliyofanyika siku ya Dominika ya 7 Mwaka C wa Kanisa, tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Parokia ya Mtakatifu Paulo wa Msalaba Kanisa Kuu, Dodoma. #jubilei2025 #mahijajikatikamatumaini #radiomariatanzania www.radiomaria.co.tz
🙏 ❤️ 🏳‍🟧‍⬛‍🟧 👍 😂 29

Comments