
Radio Maria Tanzania
February 27, 2025 at 09:50 AM
PUMZIKA KWA AMANI PADRE GOTFRID KAMARA WA JIMBO KATOLIKI BUKOBA
- Uongozi wa Radio Maria Tanzania unatoa pole kwa Mhashamu Jovitus Mwijage, Askofu wa Jimbo Katoliki Bukoba kwa msiba wa Padre Gotfrid Kamara.
- Marehemu Padre Kamara amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Alhamisi Februari 27, 2025 katika Hospitali ya Mtakatifu Yosefu - Kagondo Jimboni humo.
- Adhimisho la Misa Takatifu ya mazishi itafanyika Jumamosi Machi 01, 2025 katika Seminari ya Rubya kuanzia majira ya saa 05:00 Asubuhi.
- Familia ya Radio Maria Tanzania, inaungana nanyi kwa sala katika kipindi hiki kigumu.
Raha ya milele umpe ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani.
Amina. 💔
.
.
www.radiomaria.co.tz
#radiomariatz

🙏
😢
😭
🕊️
❤️
💔
⏰
✝️
👍
👏
143