
Radio Maria Tanzania
February 27, 2025 at 12:15 PM
SALA YA KUMUOMBEA BABA MTAKATIFU FRANCISKO
Ee Baba Mwema, wewe unayehifadhi moyoni mwako maisha ya watoto wako, mwangalie kwa macho ya huruma na mapendo, Mtumishi wako Baba Mtakatifu Francisko, ili upende kumwimarishia afya, ili aweze kuendelea kutekeleza utume na huduma yake kwa Kanisa lako.
Tuombe:
Mungu Baba asili ya maisha, tunakuomba, uwe faraja kwa Baba Mtakatifu Francisko, Umjalie nafuu ya kiroho na kimwili.
AMINA
#radiomariatanzania
#injilishakwaharaka
#mahujajikatikamatumaini

🙏
❤️
🤲
👏
🎉
👍
😂
😢
🤝
182