Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

344.5K subscribers

Verified Channel
Radio Maria Tanzania
Radio Maria Tanzania
February 28, 2025 at 11:35 AM
HITIMISHO HITIMISHO Mpendwa Mtoto wa Mama Maria, leo ndio tunahitimisha Juma la Hamasa na tunatafuta Milioni 30.7 ili tuvuke Mwezi wa Pili Salama. Je? Umeshamwezesha Bikira Maria kwa Mwezi wa Pili. Usiishe bila kufanya kitu kwa Mama Bikira Maria ili apeleke Habari njema kwa Watu wa Mungu. Makutano yetu ni namba ya Kampuni 100200. Karibu sana na Mungu abariki Majitoleo yako. . . #radiomariatz #injilishakwaharaka #mahujajikatikamatumaini
Image from Radio Maria Tanzania: HITIMISHO HITIMISHO  Mpendwa Mtoto wa Mama Maria, leo ndio tunahitimis...
🙏 ❤️ 👍 😢 23

Comments