
Radio Maria Tanzania
February 28, 2025 at 03:13 PM
*PUMZIKA KWA AMANI PADRE ANSELMO MWANG' AMBA WA JIMBO KATOLIKI ZANZIBAR*
- Uongozi wa Radio Maria Tanzania unatoa pole kwa Mhashamu Augustine Shao, Askofu wa Jimbo Katoliki Zanzibar kwa msiba wa Padre Anselmo Mwang' amba.
- Familia ya Radio Maria Tanzania, inaungana nanyi kwa sala katika kipindi hiki kigumu.
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani.
Amina. 💔
.
.
www.radiomaria.co.tz
#radiomariatz

🙏
😢
😭
💔
🕊️
😂
❤️
🎂
👍
😥
91