
CRDB Bank Plc
February 17, 2025 at 03:11 PM
Kipaji hakijifichi
Cha msingi ni kukomaa nao Dakika 90 kupambania ndoto zako mpaka wajue shughuli yako wakuombe hata saini ya jezi mwisho wa mechi.
Wamebaki 3️⃣2️⃣, Upo tayari?
#crdbbankfederationcup2025
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
❤️
😂
😮
12