CRDB Bank Plc
February 20, 2025 at 10:15 AM
Mtaani Kwako pazuri
Swahiba tupo mtaani kwako tukiwa na zawadi na huduma kibao kama vile kufunguliwa akaunti inayomfaa, kupewa Lipa Hapa ya biashara yake, kuunganishwa na SimBanking, kupewa TemboCard na michongo kibao ya Benki ya CRDB.
#tupomtaanikwako
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
👍
😂
😮
🙏
23