
CRDB Bank Plc
February 22, 2025 at 06:33 AM
Kumbe Marathon zina koneksheni na hamsemi 🤦🏾♂️!
Kutana na Swahiba Matungwa Babyegeya, Mkuu wetu wa kitengo cha rasilimali watu ambaye ameshakimbia Marathon 2️⃣0️⃣ hadi kufikia sasa. Kwake yeye, Marathon 🏃🏾♂️ ni zaidi ya mbio tu kwani huzitumia kutengeneza koneksheni🤝
Matarajio ya Swahiba Matungwa ni yapi kwenye Kili Marathon mwaka huu? Msikie hapa👇🏾
#crdb5kmfunrun
#crdbbank
#tunakusikiliza
❤️
👍
😢
😮
🙏
11